Arsenal Yatoa Ofa ya Pauni 59 Milioni kwa Viktor Gyokeres wa Sporting

Arsenal Yatoa Ofa ya Pauni 59 Milioni kwa Viktor Gyokeres wa Sporting

Klabu ya Arsenal imeanza mazungumzo rasmi na wakala wa mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres, jijini Lisbon, Ureno. Lengo la mazungumzo hayo ni kuhakikisha wanamnasa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Sweden, ambapo tayari Arsenal imewasilisha ofa ya Pauni milioni 59. Ingawa mazungumzo bado yanaendelea, Sporting imeonyesha utayari wa kumwachia Gyokeres kwa kiasi hicho, kutokana na […]

Read More