SPOTIFY KUWEKA UWEZO WA KUWA-BLOCK WATU

SPOTIFY KUWEKA UWEZO WA KUWA-BLOCK WATU

App ya Spotify kwa mara ya kwanza itaweka sehemu ya ku-block marafiki na watumiaji wa kawaida ambao sio wasanii. Spotify ilikuwa haijaweka sehemu ya ku-block mtu asiweze kuona unasikiliza nini au kufuata akaunti yako. Zamani ilikuwa kama unataka ku-block mtu, inakubidi uwasiliane na wahudumu wa wateja. Ilichukua muda sana kwa Spofity kuweka uwezo wa ku-block […]

Read More