Wasanii Waathirika na Marufuku ya Betting, Ssaru Asema Wameachwa Bila Kipato

Wasanii Waathirika na Marufuku ya Betting, Ssaru Asema Wameachwa Bila Kipato

Mwanamuziki wa gengetone Sylvia Ssaru, maarufu kama Ssaru, amefunguka kwa uchungu kuhusu athari za marufuku ya Bodi ya Kudhibiti Kamari nchini Kenya (BCLB) dhidi ya matangazo ya betting kupitia influencers na wasanii. Akizungumza na SPM Buzz katika mahojiano maalum, Ssaru alisema marufuku hiyo imeathiri moja kwa moja kipato chake na cha wasanii wengine waliokuwa wakitegemea […]

Read More
 Rapa Sylivia Ssaru atangaza kuja na Album mpya mwaka 2023

Rapa Sylivia Ssaru atangaza kuja na Album mpya mwaka 2023

Rapa wa kike nchini Ssaru ameweka wazi kuna huenda akaachia album ama EP mwanzo mwa mwaka 2023. Kwenye mahojiano na Plug TV Ssaru amesema anaendelea na mchakato wa kuitayarisha mradi wake mpya ambao kwa mujibu wake amewashirikisha wasanii wa ndani na nje ya Kenya. Mrembo ambaye mapema mwaka huu aliahidi kuachia EP mpya amewataka mashabiki […]

Read More
 SSARU AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA TRIO MIO

SSARU AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA TRIO MIO

Female rapper kutoka Kenya Sylvia Ssaru ameibuka na kukanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatoka kimapenzi na msanii mwenzake Trio Mio. Hii ni baada ya wawili hao kuonekana kuwa na ukaribu katika siku za hivi karibuni toka walipoachia ngoma ya pamoja iitwao “Kichwa tu” ambayo wamemshirikisha Timmy Tdat. Akijibu swali la shabiki yake […]

Read More