KHALIGRAPH JONES AFUNGUKA KUWAHI KUTAKA KUACHA MUZIKI.
Rapa Khaligraph Jones ametusanua kuhusu changamoto alizokutana nazo katika safari yake ya muziki ambayo ilimpelekea kutaka kuchukua maamuzi magumu kwenye maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa jukwaani katika chuo kikuu cha St. Pauls limuru mwaka wa 2012 na kusema kwamba mashabiki waliikata perfomance yake na kumtimua jukwaani jambo ambalo lilimfanya kufikiria […]
Read More