Maandalizi ya Standard Chartered Marathon Yapamba Moto

Maandalizi ya Standard Chartered Marathon Yapamba Moto

Zaidi ya washiriki 21,000 wamejisajili kufikia sasa kushiriki katika makala ya 22 ya mbio za marathoni za Standard Chartered yatakayoandaliwa tarehe 26 mwezi ujao katika bustani ya Uhuru Gardens jijini Nairrobi. Mwenyekiti wa Kamati andalizi ya mbio hizo David Mwindi ambaye alikuwa akizungumza wakati wa mbio za maandalizi zilizoandaliwa katika Msitu wa Karura anasema wananuia […]

Read More