Video Mpya Yazima Uvumi: Cardi B na Stefon Diggs Wapo Bado Kwenye Mahaba
Tetesi kuwa uhusiano kati ya rapa maarufu Cardi B na mcheza mpira wa Marekani Stefon Diggs umeenea mitandaoni, lakini taarifa mpya zinaonyesha kuwa penzi lao bado lipo imara. Uvumi wa kuachana kwao ulianza baada ya mashabiki kubaini kuwa Cardi B alikuwa amefuta picha zote za Stefon Diggs kwenye akaunti yake ya Instagram, jambo lililoibua maswali […]
Read More