STEPHEN KASOLO AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI KWA KITENDO CHA KUMTISHIA KUMUUA BINTI YAKE
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Stephen Kasolo amelazimika kuomba radhi mashabiki zake mara baada ya kumtisha kumuua binti yake wa miaka mitatu kwenye moja ya video iliyosambaa mitandaoni kwa madai ya kuvunja chupa ya maji ya bei ghali. Kupitia ukurasa wake wa twitter Kasolo amewataka mashabiki zake wamsamehe kwa hatua ya kumdhalalisha binti yake […]
Read More