BASATA YASITISHA UTEUZI WA STEVE NYERERE KUWA MSEMAJI WA SHIRIKISHO LA WANAMUZIKI TANZANIA
Baraza la Sanaa la Tanzania – BASATA limemtaka Msemaji wa Shirikisho la Muziki nchini humo, Steve Nyerere asianze kutekeleza majukumu yake hadi pale mamlaka hiyo itakapofahamu kiini cha mgogoro wa uteuzi wake na kupata ufumbuzi kwa mujibu wa katiba na sheria. BASATA imesema inafanyia kazi taarifa zilizowasilishwa na shirikisho pamoja na hoja za wajumbe waliohudhuria […]
Read More