STEVO THE SIMPLE ATANGAZA UJIO WA TAMASHA LAKE LA MUZIKI
Msanii Stevo the Simple Boy hataki kupoa kabisa kwenye suala la kuupeleka muziki wake kimataifa, hii ni baada ya kutangaza ujio wa tamasha lake la muziki. Kupitia ukurasa wake wa Iinstagram Stevo amesema tamasha lake litaitwa freshi barida huku akiwaachia mashabiki swali kama watanunua tiketi za tamasha hilo ambalo anajianda kuja na nayo hivi karibuni. […]
Read More