STEVO THE SIMPLE BOY AZINDUA CHAPA YAKE YA MAVAZI
Msanii Stevo The Simple amezindua chapa yake ya mavazi inayokwenda kwa jina la Freshi Barida. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Stevo amethibitisha taarifa hiyo kwa kusema kwamba ameamua kuja na chapa ya mavazi ya Freshi Barida kama njia ya kujipatia kipato cha kujiendeleza nayo kimaisha kando na muziki. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Mihadarati” […]
Read More