Stivo Simple Boy akiri kuchumbiwa na wanawake wenye umri mkubwa
Msanii Stivo Simple Boy amefunguka usiyoyajua kuhusu maisha yake kwa kusema kuwa wanawake wenye umri mkubwa wamekuwa wakimzimia kimapenzi kupitia mitandao ya kijamii. Kwenye mahojiano na Mwende Macharia msanii huyo wa Men in Business amesema wanawake hao wamekuwa wakimuahidi maisha mazuri huku wakimsisitizia kwamba hawatokuja kumkimbia ikitokea ameridhia ombi la kuingia nao kwenye mahusiono. Hitmaker […]
Read More