STIVO THE SIMPLE BOY ADAIWA KUNYANYASWA NA MENEJA WAKE
Meneja wa msanii stivo the simple anayefamika kama Oyo ametuhumiwa kumtumia vibaya msanii huyo. Kulingana na chanzo cha karibu na Stivo the Simple Boy meneja wake huyo amekuwa akipora pesa za show zote ambazo msanii huyo amekuwa akizifanya, akitoa mfano kuwa Stivo the Simple Boy amekuwa akilipwa Elfu 70 kwa show moja lakini cha kushangaza […]
Read More