STIVO THE SIMPLE BOY ATHIBITISHA KUWA MGONJWA, AANDIKA UJUMBE MZITO INSTAGRAM

STIVO THE SIMPLE BOY ATHIBITISHA KUWA MGONJWA, AANDIKA UJUMBE MZITO INSTAGRAM

Msanii wa muziki nchini Stephen Otieno maarufu kama Stivo The Simple Boy amewaacha mashabiki na maswali mengi baada ya kuchapisha ujumbe kwenye akaunti yake mpya ya Instagram akisema kwamba amekuwa mgonjwa kwa muda sasa. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Mihadarati” ameposti picha akiwa kwenye mazingira ya studio yenye caption inayosomeka “Mziki ni dawa yangu, Mafans […]

Read More