STIVO THE SIMPLE BOY AFUNGUA AKAUNTI MPYA ZA MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA KUINGIA KWENYE MZOZO NA UONGOZI WAKE

STIVO THE SIMPLE BOY AFUNGUA AKAUNTI MPYA ZA MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA KUINGIA KWENYE MZOZO NA UONGOZI WAKE

Msanii Stivo The Simple amelazimika kufungua akaunti mpya za mitandao ya kijamii baada ya uongozi wake wa zamani kudinda kumpa haki ya kutumia akaunti zake za awali hadi pale atakapowalipa pesa. Kupitia ukurasa wake  mpya wa Instagram Stivo The Simple the Boy ametoa rai kwa mashabiki zake wamfuatilie kwenye akaunti zake mpya ya mitandao ya […]

Read More