Oga Obinna Aahidi Kumsaidia Stoopid Boy Kurudi Shuleni na Kujenga Maisha Yake Upya

Oga Obinna Aahidi Kumsaidia Stoopid Boy Kurudi Shuleni na Kujenga Maisha Yake Upya

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Oga Obinna, ameonyesha moyo wa kipekee wa utu na msaada kwa msanii Stoopid Boy kwa kuahidi kumsimamia katika safari yake mpya ya maisha baada ya kutoka kwenye kituo cha urekebishaji tabia (rehab). Kupitia ujumbe alioutoa hadharani, Obinna alisema kuwa ameweka nia ya kumrudisha Stoopid Boy shuleni, kumsaidia kujiunga na […]

Read More
 Stoopid Boy Atangaza Kuokoka na Kujitolea Kwa Kristo Baada ya Kurejea kutoka Rehab

Stoopid Boy Atangaza Kuokoka na Kujitolea Kwa Kristo Baada ya Kurejea kutoka Rehab

Msanii maarufu wa kizazi kipya, Stoopid Boy, ametangaza rasmi kuwa ameokoka na kuamua kumtumikia Kristo, siku chache baada ya kutoka katika kituo cha kurekebisha tabia (rehab) alikokuwa akipokea matibabu kwa miezi mitatu. Kupitia ujumbe wa kugusa moyo aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Stoopid Boy alifichua kuwa kipindi alichokaa rehab kilimsaidia kutafakari maisha yake na kuelewa […]

Read More