Suge Knight Adai Cheni ya Tupac Aliyonunua Drake Ni Bandia
Aliyekuwa CEO wa Death Row Records, Suge Knight, ameibua madai makali akiwa jela kuhusu cheni ambayo rapa maarufu Drake alinunua kwa bei ya juu akiamini ilikuwa ya marehemu Tupac Shakur. Katika mahojiano aliyofanya akiwa gerezani, Suge alifichua kuwa cheni hiyo si halisi, akidai ni bandia (fake) na siyo ile aliyowahi kumpa Tupac kama zawadi enzi […]
Read More