Sugu Awakosoa Mastaa Tanzania kwa Kudharau Harakati za Kudai Haki
Mwanasiasa ambaye pia ni msanii wa hip hop, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, amewatolea uvivu mastaa wa muziki Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo kwa kauli zao za kuwataka wananchi kuacha kulalamikia Serikali na badala yake wafanye kazi. Sugu, ambaye kwa sasa ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini Tanzania, alicharuka mitandaoni akiwataka wasanii […]
Read More