Wakenya Kupeperusha Bendera Katika Mashindano ya Sunshine Tour Kigali
Mshindi mara mbili wa msururu wa gofu wa DP World, Haydn Porteous kutoka Afrika Kusini, atawaongoza wachezaji wengine 120 waliothibitisha kushiriki mkondo wa tano wa Sunshine Tour, utakaofanyika kuanzia tarehe 3 hadi 5 mwezi ujao jijini Kigali, Rwanda. Porteous, ambaye pia aliwahi kutwaa taji la Kenya Open, ni miongoni mwa wachezaji kutoka mataifa 16 watakaoshiriki […]
Read More