Kundi la Matata laachia rasmi album mpya

Kundi la Matata laachia rasmi album mpya

Wasanii wa kundi la Matata wameachia rasmi Album yao mpya inayokwenda kwa jina la SUPER MORIO. Album hiyo ina jumla ya ngoma 15 za moto ambazo wamewashirikisha wakali kama Sauti sol, Wakadinali, akuvi, Liam bailey, Phyasco na Okello Max. SUPER MORIO ni Album ya kwanza kwa wasanii wa Kundi la Matata tangu waanze safari yao ya muziki na inapatikana ‘Exclusive’ kupitia digital platforms zote za kupakua na kusikiliza muziki duniani.

Read More