Susumila aachia rasmi EP yake mpya
Mwanamuziki kutoka Pwani ya Kenya Susumila ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Lost Files. EP hiyo ina jumla ya ngoma saba za moto huku ikiwa kollabo 6 kutoka kwa wakali kama Jollie, Totti, Jacky Chant, Mejja, Jay Crack na Mr. Bado. Lost Files EP ambayo inapatikana ‘Exclusive’ kupitia mtandao wa kukisikiliza na […]
Read More