Suzanna Owiyo akashifu serikali ya kaunti ya Kisumu kwa kukimbia na pesa za wasanii

Suzanna Owiyo akashifu serikali ya kaunti ya Kisumu kwa kukimbia na pesa za wasanii

Mwanamuziki mashuhuri nchini Suzanna Owiyo ameikashifu Serikali ya Kaunti ya Kisumu na Wizara ya Ugatuzi kwa madai ya kususia kuwalipa wasanii waliotumbuiza katika Kongamano la Tisa la Africities, lililofanyika jijini Kisumu kuanzia tarehe 17 hadi 21 Mei mwaka 2022. Kwa mujibu wa Suzanna, licha ya kuwasilisha lalama zake kwa waandaaji wa kongamano hilo wameingiwa na […]

Read More