SUZZANA OWIYO AWAPA SOMO WATOTO WA KIKE

SUZZANA OWIYO AWAPA SOMO WATOTO WA KIKE

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Suzanna Owiyo ametoa changamoto kwa watoto wa kike kuanza kuthamini miili yao jinsi ilivyo badala ya kujaribu kubadilisha mienekano yao kwa kutumia madawa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Owiyo ameonesha kusikitishwa na kuongezeka kwa visa vya watoto wa kike nchini kubadilisha miili yao kuendana na nyakati zilizopo kwa kuwataka wajitenge […]

Read More