SWAT MATIRE AFUNGUKA UKIMYA WA KUNDI LA ETHIC ENTERTAINMENT
Msanii wa kundi la Ethic Entertainment Swat Matire amefunguka sababu za ukimya wa kundi hilo kimuziki. Katika mahojiano yake hivi karibuni Swat amesema mzozo uliobuka kati yao na lebo waliosaini mkataba wakusimamia kazi zao za muziki imesambaratisha juhudi yao ya kuachia kazi kama kundi. Swat amesema mkataba wao na lebo ulikamilika mwezi Aprili mwaka huu […]
Read More