RAPA SYLIVIA SARU ATHIBITISHA UJIO WA KOLABO YAKE NA MWANAMUZIKI WA BONGOFLEVA DARASSA
Female Rapper kutoka Kenya Sylvia Ssaru ametangaza ujio wa kolabo yake na mwanamuziki wa Bongofleva Darassa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ssaru ame-share picha ya pamoja akiwa na bosi huyo wa lebo ya muziki ya Classic Music Group ambapo amethibitisha kuwa mashabiki wategemee kazi mpya kutoka kwao. Duru za kuamiinika zinasema Wawili hao wanafanya wimbo […]
Read More