Wasanii Waathirika na Marufuku ya Betting, Ssaru Asema Wameachwa Bila Kipato

Wasanii Waathirika na Marufuku ya Betting, Ssaru Asema Wameachwa Bila Kipato

Mwanamuziki wa gengetone Sylvia Ssaru, maarufu kama Ssaru, amefunguka kwa uchungu kuhusu athari za marufuku ya Bodi ya Kudhibiti Kamari nchini Kenya (BCLB) dhidi ya matangazo ya betting kupitia influencers na wasanii. Akizungumza na SPM Buzz katika mahojiano maalum, Ssaru alisema marufuku hiyo imeathiri moja kwa moja kipato chake na cha wasanii wengine waliokuwa wakitegemea […]

Read More
 SYLVIA SSARU ATANGAZA UJIO MPYA MWAKANI

SYLVIA SSARU ATANGAZA UJIO MPYA MWAKANI

Wakati tukielekea ukingoni kabisa mwa mwaka 2021, na kuukaribisha mwaka 2022, Female rapper kutoka Kenya anayetajwa kuwa na sauti ya kipekee yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni, mwanadada Sylvia Ssaru ameweka wazi kuwa  mwakani ataachia album yake mpya. Lengo Ssaru ni kukata kiu ya mashabiki wake ambao wanatamani kuisikia sauti ya mwimbaji huyo hodari nchini […]

Read More