Nicki Minaj Amtukana SZA Hadharani Bila Huruma, Mashabiki Wabaki Midomo Wazi

Nicki Minaj Amtukana SZA Hadharani Bila Huruma, Mashabiki Wabaki Midomo Wazi

Mapambano ya maneno kati ya mastaa wawili wakubwa wa muziki, Nicki Minaj na SZA, yamezua taharuki mitandaoni baada ya wawili hao kubadilishana kauli kali kupitia mtandao wa X (zamani Twitter). Kulingana na taarifa kutoka Page Six, mzozo huo ulianza baada ya Nicki kumshutumu meneja wa zamani wa SZA, Terrence β€œPunch” Henderson, kwa kile alichokiita udhalilishaji […]

Read More