Albamu mpya Darassa kuingia sokoni Februari 7, 2025

Albamu mpya Darassa kuingia sokoni Februari 7, 2025

Mwanamuziki wa Bongofleva Darassa amethibitisha ujio wa albamu yake mpya Take Away The Pain, ambayo inatarajiwa kuingia sokoni rasmi Februari 7, mwaka 2025. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Darassa ameielezea albamu hiyo kama tiba mbadala ya kiburudani huku akisisitiza kuwa ni kazi bora iliyoundwa kwa ajili ya mashabiki wake. “Hii ni tiba mbadala ya kiburudani. […]

Read More