Mgogoro waibuka kwenye mgawanyo wa mali za Take Off
Rapa Takeoff alifariki dunia kabla ya kuandika wosia. Familia yake kwa sasa imeingia kwenye mgogoro mzito wakigombea mali zake zenye thamani ya mabilioni. Taarifa za ndani zinadai kwamba, wazazi wake walitengana kipindi Takeoff ana umri mdogo sana na alilelewa na Mama yake mzazi. Sasa Baba zake wakubwa na wadogo nao wameibuka na kudai kuwa sehemu ya mali za Takeoff.
Read More