FC Talanta Yaizima Tusker FC, Mbio za Ubingwa zapata Pigo
Mechi saba za Ligi Kuu ya Soka Nchini Kenya zilipigwa hapo jana na kuleta mabadiliko muhimu kwenye msimamo wa ligi. Ulinzi Stars walilazimishwa sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Posta Rangers katika uwanja wa Ulinzi Complex. Tusker FC wakajikuta pabaya walipopoteza mabao mawili kwa bila mikononi mwa FC Talanta, matokeo yanayowapunguzia kasi kwenye […]
Read More