TANASHA DONNA AKIMBIA DENI LA SHILLINGI LAKI 8 ZA KENYA

TANASHA DONNA AKIMBIA DENI LA SHILLINGI LAKI 8 ZA KENYA

Mrembo  maarufu mitandaoni Risper Faith amemtuhumu msanii wa kike nchini Tanasha Donna kwa madai ya kukwepa kulipa deni la shillingi laki 8 baada ya kufanyiwa Upasuaji (Plastic Surgery) kwa ajili ya kutengeneza mwili wake. Kulingana na Risper Faith, licha ya kampuni ya Body by Design Kenya  kutoa huduma ya Plastic Surgery kwa Tanasha Donna, msanii […]

Read More