TANASHA DONNA AWATOLEA UVIVU WANABLOGU WANAOENEZA UMBEA KUHUSU MAISHA YAKE
Staa wa muziki nchini Tanasha Donna ameonyesha kusikitishwa na jinsi habari kuhusu maisha na muziki wake inavyoripotiwa. Kupitia waraka mrefu aliyochapisha kwenye mtandao wa Instagram Tanasha Donna amesema watu wamekuwa wakiangazia sana mabaya yake propaganda badala ya kumuunga mkono kwenye muziki wake. Mrembo huyo amewataka wanablogu na vyombo vya habari nchini kuwatangaza wasanii wa Kenya […]
Read More