TANASHA DONNA MBIONI KUJA NA “THIS IS ME” EP
Nyota wa muziki nchini Tanasha Donna ametangaza kuachia EP yake mpya aliyoipa jina la “This is Me” Kupitia Instagram Live mrembo huyo ameweka wazi kuwa November 12, mwaka huu ataachia wimbo wa kwanza utakaopatikana kwenye EP yake ambayo hajaweka wazi tarehe ya kutoka ila amesema kuwa itaitwa “This is Me“. Lakini pia Tanasha amesema kuwa […]
Read More