Kenya Kuandaa Fainali za CHAN 2025 Kasarani

Kenya Kuandaa Fainali za CHAN 2025 Kasarani

Kenya imepata nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali ya makala ya nane ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani (CHAN), itakayochezwa tarehe 30 Agosti 2025 katika Uwanja wa Kimataifa wa Moi, Kasarani. Hii ni mara ya kwanza kwa Kenya kuwa mwenyeji wa fainali ya mashindano haya ya kipekee barani Afrika. […]

Read More
 Lava Lava Apata Ubalozi Wake wa Kwanza Tangu Kuondoka WCB

Lava Lava Apata Ubalozi Wake wa Kwanza Tangu Kuondoka WCB

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Lava Lava, ametangaza rasmi mkataba wake wa kwanza wa ubalozi tangu alipoondoka kwenye lebo ya WCB Wasafi. Msanii huyo sasa ni balozi wa kampuni ya kuuza magari ya Khushi Motors Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi rasmi wa yard ya kampuni hiyo, Lava Lava alisema amefurahia kushirikiana […]

Read More
 KRG The Don Atoa Wito wa Amani Kati ya Kenya na Tanzania Kufuatia Kuzuia kwa Wanaharakati

KRG The Don Atoa Wito wa Amani Kati ya Kenya na Tanzania Kufuatia Kuzuia kwa Wanaharakati

Msanii na mfanyabiashara maarufu wa Kenya, KRG The Don, ametoa maoni yake kuhusu tukio la wanaharakati wa Kenya waliokamatwa na kuzuiliwa nchini Tanzania hivi karibuni. Akiwa na mtazamo wa kipekee, KRG amesema licha ya wanaharakati hao kudai kuwa walikuwa wakitetea haki, huenda hawakuzingatia mbinu sahihi za kuwasilisha ujumbe wao, jambo ambalo lilichangia wao kujipata matatani. […]

Read More
 Diamond Aonyesha Heshima kwa Jose Chameleone, Ataka Ushirikiano wa Mwaka

Diamond Aonyesha Heshima kwa Jose Chameleone, Ataka Ushirikiano wa Mwaka

Mwanamuziki nguli kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ametangaza nia yake ya dhati ya kushirikiana na msanii mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone, katika wimbo mpya unaotarajiwa kutoka mwaka huu. Akiwa jukwaani katika tamasha la Coffee Marathon huko Ntungamo, Uganda, Diamond aliwajulisha mashabiki kuwa kolabo hiyo ni ndoto aliyokuwa nayo kwa muda mrefu, na sasa anafanya kila juhudi […]

Read More