Taylor Swift na Travis Kelce Watangaza Rasmi Uchumba Wao

Taylor Swift na Travis Kelce Watangaza Rasmi Uchumba Wao

Msanii maarufu wa muziki wa pop, Taylor Swift, na nyota wa NFL kutoka timu ya Kansas City Chiefs, Travis Kelce, wametangaza rasmi uchumba wao juzi Agosti 26, 2025. Kupitia kurasa zao za Instagram, wawili hao wamechapisha picha wakionekana katika dimbwi zito la mapenzi. Katika maelezo ya picha hizo, waliandika kwa ucheshi, “Mwalimu wako wa Kiingereza […]

Read More
 Taylor Swift Aandika Historia kwa Kurejesha Haki za Muziki Wake

Taylor Swift Aandika Historia kwa Kurejesha Haki za Muziki Wake

Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Taylor Swift, ametangaza rasmi kwamba amepata tena umiliki rasmi kazi zake za awali, hatua kubwa inayohitimisha miaka ya mapambano kuhusu haki ya umiliki wa kazi za wasanii. Kupitia taarifa aliyochapisha kwenye mitandao yake ya kijamii, Taylor alieleza furaha yake baada ya kurejesha umiliki wa albamu zake sita za mwanzo, ambazo awali […]

Read More