Teacher Wanjiku Alalamikia Usafi Duni Kwenye Vituo vya Mafuta Kenya
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Teacher Wanjiku, ameibua malalamiko dhidi ya wamiliki wa vituo vya mafuta kufuatia hali mbaya ya usafi kwenye vyoo vyao. Kupitia ujumbe wake, Wanjiku ameeleza kuchoshwa na hali duni ya usafi katika baadhi ya vituo vya mafuta jijini Nairobi, akisema kwamba licha ya wateja wao kununua bidhaa na huduma, wengi wa wamiliki […]
Read More