6ix9ine Akiri Kumiliki Madawa ya Kulevya, Hukumu Yasubiriwa Septemba
Rapa wa Marekani, Tekashi 6ix9ine, amekiri makosa ya kumiliki madawa ya kulevya kufuatia msako uliofanywa katika nyumba yake mjini Miami mwezi Machi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, 6ix9ine alikiri mbele ya jaji kuwa alikuwa na dawa za kulevya aina ya cocaine na MDMA (ecstasy), jambo ambalo linakiuka masharti ya probation aliyowekewa baada […]
Read More