Tekno Miles atangaza kuacha bangi
Hitmaker wa “Go”, Msanii Tekno Miles amewashangaza wengi baada ya kusema kwamba ameamua kuacha kabisa matumizi ya bangi. Kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao yake ya kijamii, Tekno anasema kuwa alifikia uamuzi huo na hadi juzi alikuwa tayari amemaliza zaidi ya saa 48 sawa na siku mbili bila kutumia marijuana. Msanii huyo kutoka Nigeria anasema kuwa […]
Read More