Telegram Yazindua Cocoon AI Isiyokusanya Data za Watumiaji

Telegram Yazindua Cocoon AI Isiyokusanya Data za Watumiaji

Kampuni ya Telegram imeamua kuingia kwenye ushindani mkali na Meta AI kwa kuzindua mfumo mpya wa akili bandia unaolenga kulinda faragha ya watumiaji. Hatua hii inalenga kuwavutia watumiaji ambao hawapendezwi na bidhaa za Meta, zinazokosolewa kwa kukusanya data binafsi za watumiaji. Telegram imeanzisha kipengele kipya kinachoitwa AI Summaries, kinachoendeshwa na akili bandia mpya iitwayo Cocoon. […]

Read More
 Telegram Yaweka Rasmi Mfumo wa Passkey kwa Watumiaji Wote

Telegram Yaweka Rasmi Mfumo wa Passkey kwa Watumiaji Wote

Telegram imeweka rasmi mfumo mpya wa usalama unaojulikana kama Passkey, hatua inayolenga kuimarisha zaidi usalama wa akaunti za watumiaji wake duniani kote. Mfumo huu sasa unapatikana kwa watumiaji wote wa iOS, Android, macOS na Windows. Mfumo wa Passkey unamwezesha mtumiaji kuingia kwenye akaunti yake bila kutumia neno la siri (password) au PIN za kawaida. Badala […]

Read More