Tems Azindua Programu ya Kuwawezesha Wanawake Katika Muziki

Tems Azindua Programu ya Kuwawezesha Wanawake Katika Muziki

Mwanamuziki nyota kutoka Nigeria, Tems, amezindua rasmi programu mpya ya kuwawezesha wanawake vijana kwenye tasnia ya muziki, iitwayo The Leading Vibe Initiative. Programu hiyo inalenga kuwapatia wanawake mafunzo na nyenzo muhimu za kufanikisha kazi zao katika sekta ya muziki. Warsha ya kwanza chini ya mpango huu imepangwa kufanyika kwa siku mbili, kuanzia Agosti 8 hadi […]

Read More
 Rihanna na Tems watajwa kwa mara ya kwanza kuwania tuzo ya Oscar

Rihanna na Tems watajwa kwa mara ya kwanza kuwania tuzo ya Oscar

Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a Tems kutoka Nigeria, ameweka Historia ya kuwa Msanii mwenye muda mfupi kwenye Muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo ya Oscar kupitia wimbo wa LiftMeUp alioshiriki kuuandika pamoja na Rihanna Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa mara ya kwanza Mwimbaji Rihanna naye amefanikiwa kuingia kwenye kipengele cha ‘Best Original […]

Read More
 Wizkid amu-unfollow Tems kwenye mtandao wa Instagram

Wizkid amu-unfollow Tems kwenye mtandao wa Instagram

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid amu-unfollow msanii mwenzake Tems kwenye mtandao wa Instagram. Wawili hao ambao wmefanikiwa kutengeneza Hit Song ya Dunia “Essence” wameonekana kuwa mbalimbali kwa muda jambo ambalo mashabiki walianza kujiuliza maswali juu ya mahusiano yao. Hatua hiyo ya Wizkid kumpunguza Tems kwenye orodha ya wafuasi wake kwenye mtandao wa instagram imekuja ikiwa […]

Read More
 Wasanii wa Nigeria Tems na Burna Boy watajwa kuwania Grammy 2023

Wasanii wa Nigeria Tems na Burna Boy watajwa kuwania Grammy 2023

Wasanii wa muziki kutokea nchini Nigeria, Burna Boy na Tems wametajwa kuwania vipengele viwili kila mmoja katika Tuzo za Grammy 2022. Burna Boy ametajwa kwenye vipengele viwili, “Best Global Music Performance” kwa ngoma yake ya “Last Last” na kingine ni “Best Global Music Album” – Love Damini. Naye Tems ametajwa kwenye vipengele viwili kama “Best […]

Read More
 Tems ashindwa kutumbuiza Kenya

Tems ashindwa kutumbuiza Kenya

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Tems ametangaza kuwa hatoweza kutumbuiza kwenye Tamasha la Tukutane Festival kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake. Tems amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter na kutoa ahadi kwa Wakenya kuwa siku za mbeleni atatua nchini kwa ajili ya kutoa burudani. “Kusema kweli, inasikitisha sana kusema haya lakini […]

Read More
 TEMS APATWA NA TATIZO LA KOO

TEMS APATWA NA TATIZO LA KOO

Mwimbaji nyota wa muziki kutoka Nigeria tems ambaye anafanya vizuri Kimataifa ameweka wazi kukutwa na tatizo la koo ambalo limepelekea kutotokwa na sauti. TEMS ametangaza hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo kwenye taarifa yake ameeleza kwasasa hayupo sawa kufuatia kupata tatizo hilo. Hivyo inamlazimu kusimama kufanya muziki kwa muda, pamoja na kusitisha matamasha yake […]

Read More
 TEMS AKUMBUKA MAGUMU ALIYOPITIA GEREZANI UGANDA

TEMS AKUMBUKA MAGUMU ALIYOPITIA GEREZANI UGANDA

Mwanamuziki wa kike kutoka nchini Nigeria Tems amekumbuka kipindi ambacho aliwekwa gerezani mwishoni mwa mwaka 2020 nchini Uganda. Kupitia akaunti yake ya Twitter Terms ameandika “ Nyakati kama hizi mwaka jana nilikua gerezani na watoto na kina mama nchini Uganda. Sitaki kuamini vitu nilivyo viona” Ikumbukwe Terms pamoja na mwanamuziki omahlay walitiwa mbaroni nchini Uganda […]

Read More