Fat Joe Ashtakiwa kwa Kunyanyasa Wasichana Wenye Umri Mdogo
Rapa maarufu wa Marekani, Joseph Cartagena almaarufu Fat Joe, amejikuta kwenye matatizo makubwa ya kisheria baada ya kufunguliwa kesi ya madai inayomuhusisha na tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya wasichana wadogo. Kesi hiyo, iliyofunguliwa tarehe 19 Juni 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kusini mwa New York, imewasilishwa na Terrance “T.A.” Dixon, aliyewahi kuwa […]
Read More