NADIA MUKAMI KUMCHUKULIA HATUA KALI ALIYEFUTA VIDEO YA WIMBO WA TESA YOUTUBE
Staa wa muziki nchini Nadia Mukami ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha wimbo wake wa Tesa aliyomshirikisha fena Gitu na Khalighraph Jones kuondolewa kwenye mtandao wa youtube kwa madai ya hakimiliki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Nadia Mukami amehapa kupambana na msanii aliyesababisha wimbo wake kuondolewa kwenye mtandao wa youtube kwa kusema kwamba yupo tayari kutumia […]
Read More