WILLY PAUL: SIHITAJI SUPPORT YA WASANII WA KENYA KWENYE THE AFRICAN EXPERIENCE ALBUM
Hitmaker wa Lenga msanii Willy paul ametoa ya moyoni baaada ya baadhi ya wasanii nchini kuzuzia kumpa support kwenye album yake ijayo iitwayo The African Experience. Kupitia ukurasa wake wa instagram Willy Paul amewatolea uvivu wasanii ambao amewataja kama wanafiki kwa kusema kwamba ahitaji watu wa sampuli hiyo kumuunga mkono wakati huu anajianda kuiachia album […]
Read More