Bien Aime Afafanua Msimamo Wake Kuhusu Ndoa ya Wake Wengi

Bien Aime Afafanua Msimamo Wake Kuhusu Ndoa ya Wake Wengi

Mwanamuziki maarufu wa kundi la Sauti Sol, Bien Aime Baraza, amefunguka kuhusu msimamo wake kuhusu ndoa za wake wengi, akisema hana mpango wa kuoa zaidi ya mke mmoja. Akihojiwa kwenye kipindi cha The Breakfast Club, Bien alieleza kuwa licha ya kukulia kwenye familia ya wake wengi, yeye ana mtazamo tofauti. “Ninatoka katika familia ya wake […]

Read More