Size 8 na DJ Mo Wathibitisha Ndoa Yao Imerejea Imara Baada ya Misukosuko
Wanandoa maarufu kwenye tasnia ya muziki wa injili, DJ Mo na Size 8, wamefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kipindi kigumu cha ndoa yao, ambapo walitengana kwa muda wa miezi saba kabla ya kurudiana. Kwenye mahojiano na runinga ya TV 47, DJ Mo alielezea kuwa licha ya kutengana, walidumisha mawasiliano kwa sababu ya watoto wao […]
Read More