Muonekano Mpya wa Khaligraph Jones Bila Nywele Wazua Gumzo Mitandaoni

Muonekano Mpya wa Khaligraph Jones Bila Nywele Wazua Gumzo Mitandaoni

Rapa maarufu wa Kenya, Khaligraph Jones, amewashangaza mashabiki wake baada ya kufichua muonekano mpya bila nywele (bald look), hatua ambayo imezua gumzo mitandaoni. Kupitia mitandao ya kijamii, Khaligraph anayejulikana pia kama The OG, alichapisha picha na video zikimuonesha akiwa na kichwa kipara, mbali na mtindo wake wa kawaida wa nywele fupi au zilizonyolewa kwa ustadi. […]

Read More