Drake na The Weeknd wagoma kupeleka kazi zao Grammy

Drake na The Weeknd wagoma kupeleka kazi zao Grammy

Wanamuziki Drake na The Weeknd wameendelea kuziwekea mgomo Tuzo za Grammy, taarifa mpya zinasema wakali hao kutoka nchini Canada hawajawasilisha nyimbo zao kwa ajili ya kufikiriwa (Consideration) kwa tuzo za mwaka 2023. Album zao ‘Honestly, Nevermind’ na ‘Dawn FM’ hazijawasilishwa kwenye kipengele chochote cha tuzo hizo kwa mwaka 2023 sambamba na nyimbo zao Hit kama […]

Read More
 KAMPUNI YA UNIVERSAL MUSIC GROUP YAINGIA UBIA WA KUFANYA KAZI NA THE WEEKND

KAMPUNI YA UNIVERSAL MUSIC GROUP YAINGIA UBIA WA KUFANYA KAZI NA THE WEEKND

Kampuni ya Universal Music Group imetangaza dili lake la ushirikiano na Mwanamuziki kutoka Marekani The Weeknd. Dili hilo linahusisha usimamizi wa kurekodi kazi zake, uchapishaji bidhaa na masuala ya video. Makubaliano hayo hayataathiri uhusiano wa The Weeknd na kampuni ya ‘UMG’s Republic Records’ ambayo ndiyo kampuni na mshirika wake wa muda mrefu katika kazi zake […]

Read More
 THE WEEKND ATISHIA KUJIONDOA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA

THE WEEKND ATISHIA KUJIONDOA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA

Mwanamuziki kutoka Canada The Weeknd ametishia kujiondoa kwenye orodha ya wasanii kinara ambao wametajwa kutumbuiza kwenye tamasha la Coachella. Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, The Weekd amedai kuwa hatotumbuiza kwenye tamasha la Coachella kama atalipwa shillingi billioni za Kenya ambazo Kanye west alipaswa kupewa. Kauli ya the Weeknd inakuja siku chache baada ya […]

Read More
 THE WEEKND ADOKEZA MPANGO WA KUBADILI JINA LA USANII

THE WEEKND ADOKEZA MPANGO WA KUBADILI JINA LA USANII

Mwanamuziki The Weeknd anafikiria kubadilisha jina lake la muziki na kutumia ‘Abel’ ambalo ni jina lake la kuzaliwa. The Weeknd amefunguka matamanio yake hayo kupitia ukurasa wa Twitter, huku akihamasishwa na Kanye West ambaye alibadili jina lake na kuwa YE. Mastaa kadhaa na mashabiki wa mkali huyo wameonesha kuunga mkono wazo hilo akiwemo mwimbaji John […]

Read More