Thee Pluto Alalamikia Kunyimwa Kumwona Binti Yake Zoey

Thee Pluto Alalamikia Kunyimwa Kumwona Binti Yake Zoey

Mwanamitandao maarufu nchini Kenya, Thee Pluto, ameshindwa kujizuia na kuibua hisia kali mitandaoni baada ya kudai kwamba amekuwa akinyimwa fursa ya kumwona binti yake, Zoey. Kwenye mahojiano na Obinna TV, Pluto amesema hali hiyo imekuwa ikimuumiza kwa muda mrefu huku akimtaja mama mzazi wa Felicity, ambaye ni mama mkwe wake, kama chanzo kikuu cha mgogoro […]

Read More
 Thee Pluto Akana Madai ya Kudate Mwanamke wa Kisomali

Thee Pluto Akana Madai ya Kudate Mwanamke wa Kisomali

YouTuber maarufu wa Kenya, Thee Pluto, amejitokeza kufafanua madai yaliyosambaa mitandaoni kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa Kisomali. Akizungumza kupitia mitandao yake ya kijamii, Thee Pluto amesema kuwa si kila mtu anayepigwa naye picha au kuonekana naye hadharani ni mpenzi wake. Amesisitiza kuwa uvumi wa aina hiyo ni wa kupotosha na umekuwa ukiwaweka […]

Read More
 Thee Pluto Apokea YouTube Gold Play Button Kwa Subscribers Milioni Moja

Thee Pluto Apokea YouTube Gold Play Button Kwa Subscribers Milioni Moja

Mwanamitandao maarufu Thee Pluto ameendelea kuandika historia katika tasnia ya maudhui ya kidijitali baada ya kipindi chake cha Thee Pluto Show kufikisha zaidi ya subscribers milioni moja kwenye mtandao wa YouTube. Hatua hiyo imemfanya kutunukiwa tuzo ya heshima ya YouTube Gold Play Button, ikiwatambua waundaji wa maudhui wanaofikisha idadi hiyo kubwa ya subscribers. Thee Pluto, […]

Read More