Matangazo Kuanza Kuonekana Kwenye App ya Threads Wiki Ijayo

Matangazo Kuanza Kuonekana Kwenye App ya Threads Wiki Ijayo

Matangazo ya kibiashara yanatarajiwa kuanza kuonekana rasmi kwenye app ya Threads kuanzia wiki ijayo. Kampuni ya Meta imetangaza kuwa itaanza kuonyesha matangazo hayo kwa utaratibu katika masoko mbalimbali duniani. Matangazo hayo yataendeshwa kwa kutumia mfumo wa kisasa wa matangazo unaotumia teknolojia ya AI, sawa na mfumo unaotumika kwenye Facebook na Instagram. Kwa hatua hii, watumiaji […]

Read More
 Threads Yazindua Kipengele Kipya cha Maandishi Marefu Hadi Herufi 10,000

Threads Yazindua Kipengele Kipya cha Maandishi Marefu Hadi Herufi 10,000

Mtandao wa kijamii wa Threads, unaomilikiwa na kampuni ya Meta, umetangaza rasmi uzinduzi wa kipengele kipya kinachowaruhusu watumiaji wake kuandika maandishi marefu zaidi hadi herufi 10,000 katika chapisho moja. Hatua hii inakuja kama sehemu ya juhudi za Threads kujiimarisha kama jukwaa la maudhui ya kina na mijadala ya kimaudhui, tofauti na mitandao mingine inayoweka mipaka […]

Read More
 META Yapiga Marufuku Wizi wa Maudhui Mitandaoni

META Yapiga Marufuku Wizi wa Maudhui Mitandaoni

Kampuni ya Meta, inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram, na Threads, imetangaza kuwa inaanza kuchukua hatua kali dhidi ya akaunti ambazo zinashiriki au kuchapisha upya (repost) maudhui ya akaunti nyingine bila ruhusa au kibali. Kupitia taarifa rasmi, Meta imesema kuwa sera hii inalenga kulinda haki miliki za watumiaji, kuhamasisha ubunifu wa asili, na kupunguza […]

Read More