Msanii TID Alalamikia Kutolipwa Mirabaha na Kukosa Mikopo

Msanii TID Alalamikia Kutolipwa Mirabaha na Kukosa Mikopo

Msanii nguli wa muziki kutoka Tanzania, TID (Top In Dar), ameelezea masikitiko yake kuhusu changamoto zinazowakumba wasanii nchini humo, hasa kutolipwa mirabaha yao licha ya kazi zao kuendelea kutumika kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Kupitia mitandao ya kijamii, TID alisema kuwa licha ya wasanii kukosa fursa za mikopo na msaada wa kifedha, hata haki yao […]

Read More
 MSANII WA BONGOFLEVA TID ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

MSANII WA BONGOFLEVA TID ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva TID ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo ana mpango wa kuiachia ndani ya mwaka huu wa 2022. Akizungumza na refresh TID amesema tayari album yake mpya imekamilika kwa asilimia mia moja na kilichobaki kwa sasa ni suala la kuiachia ila hajatuambia tarehe rasmi ya album hiyo kuingia sokoni. Hitmaker huyo wa “Nyota Yangu” amesema album […]

Read More