Tiffy Dolly Ajibu Madai ya Kuishi Maisha ya Kuigiza
Mwanamitindo na mtayarishaji wa maudhui mtandaoni, Tiffy Dolly, amejibu vikali madai ya baadhi ya watu mitandaoni waliodai kuwa anaishi maisha ya kuigiza (fake lifestyle) baada ya kushiriki skrini inayomuonesha akiwa na salio la Ksh 590,000 kwenye akaunti yake ya M-Pesa. Baada ya kuchapisha picha hiyo, baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii walimshambulia kwa kusema […]
Read More